Ingia / Jisajili

Ewe Mtakatifu Yosefu

Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: KULWA GEORGE

Umepakuliwa mara 1,484 | Umetazamwa mara 2,967

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ewe Mtakatifu Yosefu, mnyenyekevu na mwenye upole, msimamzi wa Kanisa letu, mwenye moyo wa ubaba na mlishi wake Yesu Mwana wake Maria x2 1.Baba mwenye ujasiri, Baba mwenye moyo mzuri; mume wake Bikira Maria, mume wake Bikira Maria mwenye moyo wa Baba. 2.Mtakatifu mwenye'utii, kwa mapenzi yake Mungu; tuombee tuwe na utii, wakutii mapenzi ya Mungu pasipo hofu. 3.Mtakatifu mbunifu, na mfano wa upendo; kwa Kanisa letu Takatifu, na mfano wa upendo mzuri kwa wale maskini. 4.Tuombee kwa Mwanao, msamaha na rehema; rehema kamili ya dhambi, ewe Mtakatifu Yosefu mume wake Maria.

Maoni - Toa Maoni

Henk Gallus Mawala (HEGAMA) May 02, 2021
Hongera kwa utunzi mzuri

Toa Maoni yako hapa