Ingia / Jisajili

FADHILI ZA BWANA NITAZIIMBA MILELE

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 1,235 | Umetazamwa mara 2,851

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Fadhili za Bwana nitaziimba milele, fadhili za Bwana nitaziimba milele, kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako. 1.Maana nimesema, fadhili zitajengwa zitajengwa milele, katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako. 2.Nimefanya agano na mteule wangu nimefanya agano , nimemwapia nimemwapia Daudi Mtumishi Wangu. 3.Wazao wako wote nitawafanya imara imara milele Mimi nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele. 4. Yeye ataniita wewe Baba yangu Mungu wangu na mwamba wangu, nitamwekea fadhili zangu na agano la Amani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa