Ingia / Jisajili

Fadhili Za Bwana Nitaziimba

Mtunzi: Pastory Petro
> Tazama Nyimbo nyingine za Pastory Petro

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio | Zaburi

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 985 | Umetazamwa mara 2,269

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                                    KIITIKIO

Fadhili za Bwana nitaziimba, nitaziimba fadhili, nitaziimba milele.*2

                                                                   MASHAIRI

  1. Fadhili za Bwana nitaziimba milele, kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
  2. Maana nimesema fadhili zitajengwa milele, katika mbingu utauthibitisha uaminifu uaminifu wako.
  3. Nimefanya agano na Mteule wangu, nimemwapia Daudi mtumishi, mtumishi mtumishi wangu.
  4. Wazao wako nitawafanya imara, imara, imara milele, nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa