Mtunzi: Pastory Petro
> Tazama Nyimbo nyingine za Pastory Petro
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa
Umepakuliwa mara 1,164 | Umetazamwa mara 3,513
Download Nota Download MidiKiitikio:
Yosefu mtakatifu ulimtunza mtoto Yesu ukamtunza na mama yake, Yosefu mtakatifu utuombee sisi kwa Mungu Mungu wetu mbinguni.
Mashairi;
1. Yosefu wewe ndiwe mfanyakazi bora, kati ya wafanyakazi wote wewe ndiwe kiongozi.
2. Tunaomba Mungu wetu atuangazie, kuzifanya kazi zetu zote zinazompendeza Mungu.
3. Zipeleke sala zetu mbele zake Mungu, peleka maombi yetu kazi zetu zifanikiwe.
4. Ulimtunza mtoto Yesu pia na mamaye, uliwaepusha na hatari zilizowakaabili