Ingia / Jisajili

Heri Taifa

Mtunzi: Pastory Petro
> Tazama Nyimbo nyingine za Pastory Petro

Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 461 | Umetazamwa mara 1,356

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C
- Katikati Dominika ya 19 Mwaka C
- Katikati Mkesha wa Pasaka
- Katikati Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka A
- Katikati Pentekoste
- Katikati Utatu Mtakatifu Mwaka A
- Katikati Utatu Mtakatifu Mwaka B
- Katikati Utatu Mtakatifu Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

HERI TAIFA

Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao X 2

MASHAIRI

  1. Mpigieni Bwana vigelegele enyi wenye haki, kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
  2. Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao, wazingojeao fadhili za Bwana.
  3. Yeye huwaponya nafsi zao na mauti, na kuwahuisha wakati wa njaa.
  4. Nafsi zetu zinamngoja Bwana, yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa