Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiNEEMA YA JUBILEI 2025
Neema ya Jubilei iamshe tena ndani yetu, mahujaji wa matumaini, hamu ya hazina za mbinguni, (naimwage juu ya dunia yote, furaha na amani ya Mkombozi, wetu) x2
1. Ee Baba wa mbinguni imani uliyotujalia, kwa Mwanao Yesu Kristo ndugu yetu iwashe tena ndani yetu, tumaini la kuja kwa ufalme wako