Ingia / Jisajili

Fuateni Ramani

Mtunzi: Julius Mokaya
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Mokaya

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Noeli

Umepakiwa na: Julius Mokaya

Umepakuliwa mara 517 | Umetazamwa mara 2,023

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Fuateni Ramani

{Fuateni ramani, ya kwenda mbinguni, usilegee ndugu, iatazame vizuri; Fuateni ramani, ya kwenda mbinguni, fuata ramani, ya kwenda Mbinguni.x2}

{Ramani hiyo, ni neno la Mungu, ramani hiyo, mafundisho ya Mungu, ramani hiyo, iisome vizuri.x2}

  1. Bwana Mungu kapenda, ulimwengu huu, akamtuma mwanaye, hapa ulimwenguni; yeyote amwaminiye asipotee bali, awe nao uzima.
  2. Bwana Yesu kasema, yeye ndiye njia, yeyendiye ukweli, yeye ndiye uzima; huwezi enda kwake Mungu Baba Mwenyezi, ila, upitie kwake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa