Mtunzi: Julius Mokaya
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Mokaya
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Julius Mokaya
Umepakuliwa mara 796 | Umetazamwa mara 2,381
Download Nota Download MidiWawili Wakitembea Pamoja
Ukiona wawili wakitembea pamoja, hao kweli wameamua waishi pamoja. Ukiona wawili wakitembwa pamoja, hao kweli wameamua waishi pamoja. Kweli hawawezi tembea pamoja kama hawajakubaliana; Kweli hawa wamekubaliana waishi pamoja kwa upendo, hawa wamekubaliana waishi pamoja kwa upendo.