Mtunzi: Lukando Andrew Basil
> Tazama Nyimbo nyingine za Lukando Andrew Basil
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 4,388 | Umetazamwa mara 8,443
Download Nota Download MidiFuraha yangu ni kubwa sana x2 kuingia nyumba yako Bwana [(leo hii) nia yangu nipate kukuabudu Mungu] x2
1.Furaha yangu Bwana ni kubwa kuingia – nyumba yako
Nami unipe neema kuomba kuingia – nyumba yako
2.Fahari ninaona Mungu wangu kujongea –
Pia kukushukuru siku zote naja kwenye –
3.Nawe Mwokozi wangu Yesu naingia –
Uniongoze leo Bwana nije kwenye –
4.Ewe Mungu Baba naingia naipenda –
Wewe uliyeumba vitu vyote najongea –
5.Nawe Roho Mungu wa neema naja kwenye –
Nipe uwezo nisichoke kuingia kwenye –