Ingia / Jisajili

FURAHI EE BINTI SAYUNI

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 246 | Umetazamwa mara 1,117

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
FURAHI EE BINTI SAYUNI MFALME WAKO AMEKU-JA (AMEKU-JA) MKOMBOZI WAULIMWENGU(1).Haleluya aleluya mshukuruni Bwana liitieni jina lake wajulisheni watu matendo yake.(2)Mwimbieni Mwimbieni Bwana kwa zaburi zitafakarini ajabu zake zote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa