Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo
Umepakiwa na: Richard Samson
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 27
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C
Furahi Ee Yerusalemu x2
Na mkusanyike, ninyi nyote, mmpendao ninyi nyote, mmpendao x2
1. Furahini kwa furaha ninyi nyote, mliokuwa na huzuni mpate kushangilia, nakushibishwa kwa utamu wa faraja zake.