Mtunzi: Michael Shija
> Mfahamu Zaidi Michael Shija
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Shija
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Michael Shija
Umepakuliwa mara 2,182 | Umetazamwa mara 6,170
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Furahini katika Bwana siku zote tena nasema furahini maana Bwana yukarux2
MASHAIRI:
1a). Na upole wenu na ujulikane, ujulikane ana watu kwani Bwana yukaribu
b).Mataifa yote na wajibariki, katika yeye na kumwita heri na kumwita heri.
2a)Msijisumbue kwa neno lolote, bali katika kila neno kwa kusali na kuomba.
b)Haji zenu zijulikane na Mungu, na amani ya Mungu itawahifadhi katika Bwana milele.
3a)Maana atamwokoa mhitaji, na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi,
b)Atamhurumia aliye dhaifu, tena atawaambia watu wake watu wake amani.