Ingia / Jisajili

Hawa Ndiyo Waliopanda Kanisa

Mtunzi: Michael Shija
> Mfahamu Zaidi Michael Shija
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Shija

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Michael Shija

Umepakuliwa mara 1,115 | Umetazamwa mara 3,856

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hawa ndio wale ambao walipoishi walipanda kanisa kwa damu yao

Hawa ndio wale ambao walipoishi walipanda kanisa kwa damu kwa damu yao

                                          Shairi.

  1. Walikunywa kikombe kikombe cha Bwana wakawa rafiki zake Mungu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa