Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 1,954 | Umetazamwa mara 4,611
Download Nota Download MidiFurahini katika bwana siku zote tena nasema furahini bwana yu karibuX2
1; Mambo mliojifunza kwangu na kuyapokea yatendeni hayo.
2;Upole wenu ujulikane kwa watu wote Bwana yu karibu.