Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 611 | Umetazamwa mara 2,021
Download Nota Download MidiEe Bwana fadhili zako zikae nasi kama vile tunavyokungoja weweX2
1. Kwa kuwa neno la bwana lina adili na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
2.Huziponya nafsi zao huwaponya na mali zao huwahuisha wakati wa njaa.
3.Hupenda haki hukumu haki hukumu nchi imejaa fadhili fadhili za Bwana Mungu