Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 5,473 | Umetazamwa mara 12,345
Download Nota Download Midi
LUCAS MLINGI
DON BOSCO CHOIR
ST. THERESIA-ARUSHA
Furahini katika Bwana siku zote
Tena nasema furahini, Bwana, Bwana yu karibu.
1. Upole wenu ujulikane, ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu
2. Msijisumbue kwa neno lolote, ila kwa kila neno haja zenu zijulikane na Mungu.