Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 1,332 | Umetazamwa mara 3,602
Download Nota Download MidiSoprano.
MOYO MT. WA YESU - BY LUCAS MLINGI
Solo;1. Moyo wa Yesu ulioungana na neno wa Mungu
kiitikio; Moyo Mtakatifu Moyo wa Yesu utujalie mapendo Mungu wetu
2. Moyo wa Yesu unaostahili si--fa zo--te
3. Moyo wa Yesu Mioyo yo.......te
4. Moyo wa Yesu chombo haki na u u u pendo
5. Moyo wa Yesu hema la yule a a a lie juu
6. Moyo wa Yesu ki -li - ndi cha fa --dhila zote