Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 1,072 | Umetazamwa mara 3,868
Download Nota Download MidiHONGERA BABA ASKOFU WETU - L MLINGI
KIITIKIO;
Hongera hongera baba Askofu wetu X 2 //umeteuliwa kati ya watu hongera hongera Jimbo la Arusha(taja unapoona inafaa) ni furaha x2
MASHAIRI
SOPRANO/ALTO
1. Umeteuliwa Baba kuchunga kondoo wa Mungu Jimboni mwetu, Sote tunafurahia tunamshukuru Mwenyezi siku ya leo.
2. hongera Baba Askofu hongera Jimbo la Arusha twafurahia, hongera Mapadre wote hongera pia na watawa na waamini.
tenor/bass
3.Kina baba simameni kina mama nyanyukeni tumsifu Mungu, Vijana nanyi watoto shangilia kwa furaha na shangwe kubwa.