Mtunzi: Agapito Mwepelwa
> Mfahamu Zaidi Agapito Mwepelwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Agapito Mwepelwa
Makundi Nyimbo: Mwaka wa Familia (2014) | Noeli | Zaburi
Umepakuliwa mara 399 | Umetazamwa mara 1,520
Download Nota Download MidiHERI KILA MTU.
Heri kila mtu, amchaye Bwana aendaye, katika njia yake.
Mashairi:
1. Heri kila mtu, amchaye Bwana, aendaye katika njia yake.
2.Tabu ya mikono yako, hakika utaila, utakuwa heri na kwako kwema.
3.Mkeo atakuwa, kama Mzabibu, uzaao vyumbani mwa nyumba yako.
4.Ta ............zama. atabarikiwa hivyo, yu - le amchaye Bwana.
5.Naam ukawaone, wana wa wanao, amani ikae Israe -------- l.