Mtunzi: Gabriel Kapungu
> Mfahamu Zaidi Gabriel Kapungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel Kapungu
Makundi Nyimbo: Ndoa | Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Gabriel Kapungu
Umepakuliwa mara 1,289 | Umetazamwa mara 3,018
Download Nota Download MidiASIFIWE MUNGU BABA.
Asifiwe Mungu Baba, na Mwana na Roho. Mtakatifu kwa sababu ametufanyia huruma yake. x2.
1: Mungu Baba ndiye Muumbaji, Mungu Mwana ndiye mkombozi.
2: Mungu Roho mtoa wa mapaji, na mkono wa mwenyezi Mungu.
3: Siri kuu hii ya Utatu, Imani tunayokili sote.