Mtunzi: Gabriel Kapungu
> Mfahamu Zaidi Gabriel Kapungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel Kapungu
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gabriel Kapungu
Umepakuliwa mara 32 | Umetazamwa mara 56
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka C
NALIFURAHI WALIPONIAMBIA.
Nalifurahi waliponiambia na twende nyumbani kwake kwake Bwana x2.
Miguu yetu imesimama ndani ya malango yako Ee Yerusalemu x2.
1:Ee Yerusalemu uliyejengwa, kama mji ulioshikamana, huko ndiko waliko panda kabila , kabila, kabila , kabila za Bwana.
2:Ushuhuda wa Israeli walishukuru jina la Bwana, maana huko viliwekwa viti vya hukumu, viti vya enzi vya nyumba ya Daudi.