Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 2,663 | Umetazamwa mara 6,154
Download Nota Download Midi
HERI TAIFA AMBALO. katika mwaka B Utatu Mtakatifu- By Lucas MLingi
Heri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao ambalo Bwana ni Mungu wao ambalo Bwana ni Mungu wao x2
Bass/ Tenor
1. Kwakuwa neno la Bwana lina adili, na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu
Bwana huzipenda haki na hukumu, Nchi imejaa fadhili za Bwana. Kiit...
2. kwakuwa neno la Bwana Mbingu zilifanyika, na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake
Maana yeye alisema Ikawa, Na yeye aliamuru Ikasimama. Kiit...
Soprano/ Alto.
3. Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao' wazingojeao fadhili zake,
yeye huwaponya nafsi zao na mauti, na kuwahuisha wakati wa njaa. Kiit....
4. Nafsi zetu zina mnngoja Bwana, Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.
Ee Bwana fadhili zako zikae nasi, kama vile tulivyokungoja wewe. Kiit...