Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 1,332 | Umetazamwa mara 4,853
Download Nota Download MidiBWANA KAFUFUKA - BY LUCAS MLINGI
Bwana kafufuka twimbe Aleluya kifo ameshinda Aleluya x2
utukufu na ukuu una yeye hata milele milele hata milele milele x2
1. Nimefufuka na a ningaali pamoja nawe.
2. Twimbe kwa shangwe tufurahiie amefufuka.