Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Epifania
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 4,042 | Umetazamwa mara 7,868
Download Nota Download MidiCOMPOSER LUCAS MLINGI
DON BOSCO CHOIR 27 DEC 2010
ST THERESA ARUSHA
0754-974978/0712-974978
Mataifa yote ya ulimwengu yatakusujudia ee Bwana x2
1. Ee Mungu mpe Mfalme hukumu zako na mwana wa Mfalme haki yako, atawaamua watu wako kwa haki na walioonewa kwa hukumu
2. Siku zake yeye mtu mwenye haki atasitawi na wingi wa amani hata mwezi utakapo koma nawe na enzi toka bahari hata na bahari toka mto hata miisho ya dunia
3. Wafalme wa Tarshishi na wa visiwa walete kodi wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa Naam wafalme wote na wamsujudie na Mataifa yote wamsujudie