Mtunzi: F. C. Mabogo
> Mfahamu Zaidi F. C. Mabogo
> Tazama Nyimbo nyingine za F. C. Mabogo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Fredrick Charles
Umepakuliwa mara 920 | Umetazamwa mara 2,407
Download Nota Download Midi1. Leo siku ya furaha pia leo ni siku ya
shangwe kwetu, Waamini wote wa Mhandu, tupeane hongera
Hongera
Viongozi, hongera waamini, Hongera kwa kuwa Parokia*2
2.
Leo
tunamshukuru Mungu Baba, Kwa Baraka na neema nyingi, Alizotujalia sisi
sote tunasema Asante
3. Tunapofurahia leo kuwa Parokia kamili
pia, Twaalikwa kutafakari, Sinodi ya Afrika
4. Pia leo twasema asante Mtakatifu Kizito,
kwa maombezi yako tokea mwanzo, Leo twawakaribisheni Petro na Paulo, Mtuombee