Mtunzi: F. C. Mabogo
> Mfahamu Zaidi F. C. Mabogo
> Tazama Nyimbo nyingine za F. C. Mabogo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Fredrick Charles
Umepakuliwa mara 578 | Umetazamwa mara 1,244
Download Nota Download MidiTu watu wake na kondoo, Tu watu wake na kondoo wa malisho yake
1. Mfanyieni shangwe dunia yote, mtumikieni bwana kwa furaha njoni (njoni) mbele zake kwa kuimba
2. Jueni kwamba bwana ndiye Mungu, ndiye aliye tuumba sisi watu wake na kondoo wa malisho yake
3. Kwa kuwa bwana ndiye mwema, na rehema zake kwetu ni za milele, na uaminifu wake vizazi na vizazi