Mtunzi: F. C. Mabogo
> Mfahamu Zaidi F. C. Mabogo
> Tazama Nyimbo nyingine za F. C. Mabogo
Makundi Nyimbo: Miito | Watakatifu | Zaburi
Umepakiwa na: Fredrick Charles
Umepakuliwa mara 1,235 | Umetazamwa mara 3,058
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Malaika wa Bwana, ( Wa Bwana Malaika) Awaokoa wamchao (wamchao) Awaokoa wamchao*2
1.
a. Nitamhimidi Bwana
kila wakati, Sifa sifa zake zikinywani mwangu daima,
b. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu, wanyenyekevu
wasikie wakafurahi
2.
a. Mtukuzeni Bwana
pamoja name, Na tuliadhimishe jina lake pamoja,
b. Nalimtafuta Bwana wangu akanijibu, akaniponya na hofu
zangu zote
3.
a. Wakamwelekea
macho wakati wa nuru, wala nyuso zao hazitaona haya,
b. Maskini huyu aliita Bwana akasikia, Akamwokoa na taabu
zake zote
4.
a. Malaika wa Bwana
hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa,