Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 4,179 | Umetazamwa mara 10,292
Download Nota Download Midi
DEOGRATIAS R. KIDAHA
19.03.2009
BUGURUNI
Hosana, Hosana, Hosana juu mbinguni, Hosana Hosana kwa mwana wa Daudi x2
1. Watoto wa Mayahudi, walimlaki Bwana wakichukua matawi ya mizeituni, wakipiga kelele wakisema Hosana.
2. Wote walitukuza, Jina lako Ee Bwana wakisema Mbarikiwa ajae kwa jina la Bwana Mfalme wa Israel.