Ingia / Jisajili

Hosana mwana wa daudi

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Matawi

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 495 | Umetazamwa mara 1,593

Download Nota
Maneno ya wimbo
Hosana hosana mwana wa daudi hosana mwana wa daudi uliye juux2. SHAIRI; 1) ndiye mbarikiwa yeye ajaye kwa jina la bwana ndiye mfalme wa Israeli 2) na makutano walitangulia na wale walifuata wakipaza sauti wakisema. 3) hata alipoingia yerusalemu mji wote ukataharuki watu wakisema Ni Nani huyu!!!!! Makutano wakasema, huyu Ni nabii yesu nazareti ya galilaya na wote wakapaza sauti wakisema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa