Mtunzi: Magnus M.s Kisanga
> Mfahamu Zaidi Magnus M.s Kisanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Magnus M.s Kisanga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Magnus Kisanga
Umepakuliwa mara 636 | Umetazamwa mara 1,843
Download NotaHuu ni mwili, Huu ni mwili wa Bwana tuabudu X2 Hii ni damu. Hii ni damu ya Bwana tuabuduX2. Tutangaze fumbo la imani, Kristu alikufa, Kristu alifufuka atakuja tenaX2.