Ingia / Jisajili

Sadaka Yetu

Mtunzi: Magnus M.s Kisanga
> Mfahamu Zaidi Magnus M.s Kisanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Magnus M.s Kisanga

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Magnus Kisanga

Umepakuliwa mara 930 | Umetazamwa mara 2,850

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Karibuni wote tupeleke matoleo yetu, ni mali ya Bwana hima turudishe kwake. Yeye ametupa bure twendeni tupeleke sadaka, sadaka safi kwa Mungu wetu nayakupendeza kama ile ya Abeli.

1.Vyote tulivyo navyo ni mali ya Bwana, tupeleke kwake atatuzidishia.

2.Fedha nayo mazao ni mali ya Bwana, tukamtolee naye atabariki.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa