Ingia / Jisajili

Siku Hii Ndiyo Aliyoifanya Bwana

Mtunzi: Magnus M.s Kisanga
> Mfahamu Zaidi Magnus M.s Kisanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Magnus M.s Kisanga

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Magnus Kisanga

Umepakuliwa mara 443 | Umetazamwa mara 1,227

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya Pasaka

Download Nota
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana,tutaishangilia, tutaishangilia, nakufurahi nakufurahiwa nayo.

MASHAIRI

1.Mshukuruni Bwana, kwakuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele.

2.Israeli na aseme sasa ya kwamba fadhili zake ni za milele.

3.Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa, mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.

4.Jiwe walilokataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa Bwana nalo ni ajabu machoni petu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa