Maneno ya wimbo
UTANGULIZI
Ipo nguvu moja iliyoumba ulimwengu mzima nguvu iliyoumba vinavyoonekana na visivyoonekana
Kiitikio
Huyo ni Mungu ni Mungu ni Mungu huyo ni Mungu ni Mungu ni Mungu huyo ni Mungu Bwana Mungu wa majeshi×2
Mashairi
1. Neno lake lina nguvu aliamuru ikawa hakuna wa kufanana na Mungu wetu aliye juu mbinguni hakika yeye ni Mungu
2. Mwimbieni wimbo mpya mshukuruni kwa kinubi kwa kinanda cha nyuzi kumi tumwimbieni nyimbo za kumsifu kwakuwa yeye ni Mungu
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu