Ingia / Jisajili

NAKUKARIBISHA YESU

Mtunzi: Ray Ufunguo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ray Ufunguo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Vitus Chigogolo

Umepakuliwa mara 38,731 | Umetazamwa mara 42,476

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Nahason nyaga Jun 09, 2024
Weka maneno poa bila nota pliiiz....wimbo mzuri

Dan Agedius Jan 02, 2023
Catholic

Sikivano Aug 01, 2022
Hongera

Benedicto May 10, 2022
Hongera

TRESOR BAMANAKEBO May 02, 2022
Je

Jones Jan 27, 2022
Pongezi sana

Saimoni Dec 15, 2021
Aise wimbo uko feet hatar yaan Kama unakula uagli tembele vile Mungu akutie nguvu uendelee kutoa vitu vitamu

steve kichia May 29, 2021
Wimbo mtamu Sana, naomba midi tafadhali.

Francis Massawe Mar 16, 2021
Wimbo mzuri sana tunaomba tuwekewe na midi tafadhali

Pius kerio Jan 19, 2021
Pongezi sana

Gabriel Kimani Sep 29, 2020
Wimbo mzuri sana lakini tafadhali aliye upakua na arekebishe jina la wimbo ili iwe rahisi kuupata kwa tovuti wimbo ina lipo hivi NAKURIBISHA badala ya NAKUKARIBISHA. Asanteh

Flavian Banturaki Sep 21, 2020
Wimbo mzuri sana. Mungu akuzidishie Hekima na maarifa ya mbinguni ili uzidi kulitakatifuza kanisa kwa nyimbo zenye Mguso Mtakatifu. Amen

Eng Abidha Sep 10, 2020
Good work Ray, Keep at it..

Toa Maoni yako hapa