Ingia / Jisajili

HUYU NDIYE MWANA KONDOO

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 515 | Umetazamwa mara 2,272

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiit: Huyu ndiye Mwana kondoo wa Mungu, aondoaye dhambi za dunia, heri yao walio alikwa kwenye karamu. Ee Bwana sistahili , kweli Bwana uingie kwangu, lakini sema neno moja na roho yangu itapona. 1. Uniokoe kwa Mwili na Damu yako, katika maovu yangu na mabaya yote. 2.Uniwezeshe kuzifuata daima amri zako, wala usiniache nitengane nawe kamwe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa