Maneno ya wimbo
Kiitikio: Tembea na mimi Bwana, tembea na mimi Bwana, nishike mkono Bwana tembea na mimi Bwana unishike mkono Mwokozi tembea na mimi Bwana, usiniache Bwana tembea na mimi Bwana, dhoruba ni kali tembea na mimi Bwana, ninasumbuliwa tembea na mimi Bwana, usinipite mwokozi tembea na mimi Bwana, nakukaribisha Yesu tembea na mimi Bwana Yesu tembea na mimi Bwana.
1.Majaribu kwangu hayakomi kweli, unishike mkono Yesu tembea na mimi Bwana.
2.Usikae mbali nami Mkombozi,unishike mkono Yesu tembea na mimi Bwana.
3.Hawa maadui wamepanga njama, unishike mkono Yesu tembea na mimi Bwana.
4.wanasema eti Mungu umeniacha, unishike mkono Yesu tembea na mimi Bwana.
5.Wewe ndiwe mlinzi wa maisha yangu, unishike mkono Yesu tembea na mimi Bwana.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu