Ingia / Jisajili

Misa Ya Watakatifu Petro Na Paulo

Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: respiqusi mutashambala

Umepakuliwa mara 16,731 | Umetazamwa mara 24,660

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Benedicto Apr 21, 2020
Misa ni nzuri, ila alieiandika (mwl Respicius Mutashambala) kuna sehemu amebakili vibaya, pamoja na kubadili kulingana na mabadiliko ya kilitrujia kwenye utukufu na mtakatifu, ila kuna marekebisho mengine si vyema kuyaondoa kiukweli kama kwenye mwanakondoo ameondoa modulation ambazo mwl Joseph Makoye aliziweka, Hapana sio sawa kama inawezekana anakili vzuri na hata kama anabadili maneno kulingana na marekebisho ni vizuri aendane na noti za mtunzi alivyoweka asiweke kwa mawazo yake. Kama anataka mawazo yake atunge ya kwake mwenyewe. Sio vzuri kunakili nyimbo za wengine hasa walimu waliofarki na kuziwekaweka tuu kwa kujua hakuna anayetambua sio sawa hyo. Mwalimu Mutashambala ajibadilishe sana na sio mara ya kwanza nyimbo nyingi za watu anazinakili na kuziharmony ambapo hapahitaji harmony nililiona pia kwenye katikati ya giza la mauti. Sio vizuri

John May 01, 2019
See the words in them songs

Toa Maoni yako hapa