Ingia / Jisajili

Inakuwaje Tunasikia Maneno

Mtunzi: Paschal Florian Mwarabu
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Florian Mwarabu

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 33,689 | Umetazamwa mara 48,604

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Inakuwaje tunasikia maneno wanayosema kwa lugha yetu wenyewe.
Tunasikia mambo hayo ya Mungu wanayosema kwa lugha yetu wenyewe.
Wao ni Wagalilaya, nasi ni wa makabila, ya kutoka nchi mbalimbali (duniani), ina maana gani linashangaza jambo hili x 2

  1. Siku ile ya Pentekoste ilipofika, mitume nao waamini, walikusanyika pamoja katika nyumba walimokuwa wamekaa

  2. Mara uvumi wa upepo ukasikika, ndimi za moto zikawashukia, wakawa wamejazwa na Roho Mtakatifu na kusema lugha nyingi

Maoni - Toa Maoni

Mun Nov 04, 2023
Mungu akupe nguv katika maisha yako

Brian Analo Dec 01, 2022
POA Sana

Emmanuel May 24, 2021
Nzuri naombaa msaada wa kuwaa napataa nota kwenye email angu

Peter Joseph Mwiga Jun 06, 2018
Napongeza wimbo huu ni mzuri sana

nicolaus shabate Jan 06, 2017
tuendeleze utume wetu ,pia nampongeza mtunzi wa wimbo huu

anastansia sweetberth Oct 05, 2016
nawapongeza kwaya zote kwa nyimbo mzuri

Toa Maoni yako hapa