Ingia / Jisajili

Tuhubiri Neno La Mungu

Mtunzi: Paschal Florian Mwarabu
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Florian Mwarabu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 251 | Umetazamwa mara 297

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Tuhubiri neno la Mungu) tuhubiri dunia yote (tutangaze neno la Mungu) tutangaze dunia yote ili watu wote waokolewe waupate uzima wa milele

1. Tushiriki pamoja na wenye shida tuenende pamoja katika Bwana

2. Tueneze imani ya dini yetu tueneze injili kwa watu wote

3. Tueneze pamoja jubilei tumshukuru Mungu kutukomboa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa