Mtunzi: Gregory J.A Mdalingwa
> Mfahamu Zaidi Gregory J.A Mdalingwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gregory J.A Mdalingwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Gregory J.A. Mdalingwa
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiKiitikio:
Inathamani Machoni pa Bwana, inathamani mauti ya wacha Mungu wake×2
Maimbilizi
1. Nampenda Bwana, kwa kuwa anaisikia, sauti yangu na dua zangu
2. Ee Bwana hakika, mimi ni mtumishi wako, umefungua vifungo vyangu
3. Enyi mataifa, yote msifuni Bwana, enyi watu wote mhimidini
4. Mshukuruni Bwana, kwa kuwa yeye ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele
5. Wamchao Bwana, nawaseme sasa, ya kwamba fadhili zake ni za milele