Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 18
Download NotaINGEKUWA HERI LEO
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, msifanye migumu, mioyo yenu x2
Njoni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe, mwamba wa wokovu wetu tuje mbele zake kwa shukrani,
tumfanyie shangwe kwa zaburi.