Ingia / Jisajili

Wewe U Mavumbi

Mtunzi: Deogratius Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratius Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Rwechungura

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 16

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wewe (mwanadamu) u mavumbi na utarudia mavumbini x2 1. Mwanadamu na ukumbuke, kuwa u mavumbi wewe 2. Tugeuze mwenendo wetu, kwa kufunga na kusali 3. Tufunge na kulia sana, kwa majivu na gunia 4. Tuyatubu makosa yetu, kwake Bwana Mungu wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa