Ingia / Jisajili

Ipokee Sadaka Yetu

Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 12,172 | Umetazamwa mara 19,924

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Augustine Mubei Jul 09, 2021
Hii version haileti utamu wa wimbo huu, ya zamani ilikuwa simple lakini ya kuvutia

P. Lukosi Sep 22, 2020
Ni kweli. Hii copy ya sasa sito tuliyoimba miaka ile na waumini wanashindwa kabisa kuendana nayo. Ipatikkane copy ya zamani. Wengine tumeacha kabisa kuimba huu wimbo japo mzuri

ponziano Lukosi Jun 12, 2019
Wimbo huu umerekebishwa kiasi cha kuleta mgongano na waamini. ningeshauri ipatikane nakala ya zamani iliyokuwa ikitumika miaka ya 80/90. tukijaribu kuitumia hii tunagongana na waamini kwenye umaliziaji wa mashairi na kiitikio. eneo tete zaidi ni kinapoanza kiitikio... IPOKEE sadaka yetu imevutwa sana kuliko ilivyozoeleka

Toa Maoni yako hapa