Ingia / Jisajili

Ipokee Sadaka Yetu

Mtunzi: Gaspar Mrema
> Mfahamu Zaidi Gaspar Mrema
> Tazama Nyimbo nyingine za Gaspar Mrema

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: GASPER MREMA

Umepakuliwa mara 2,957 | Umetazamwa mara 8,620

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu Baba Mwenyezi Ipokee Sadaka, Tunayokutolea sisi wanao

MASHAIRI

  1. Ni mazao ya mashamba, kazi ya mikono yetu, Twakuomba uyapokee.
  2. Na fedha za mifukoni, kazi ya mikono yetu, twakuomba uzipokee.
  3. Pia na vipaji vyetu uvipokee, pokea Baba twakuomba uvitakase.

Maoni - Toa Maoni

joseph mushi May 09, 2017
uko vizuri sana mwalimu

Toa Maoni yako hapa