Ingia / Jisajili

IPONYE ROHO YANGU

Mtunzi: Sebastian Don Ndibalema
> Mfahamu Zaidi Sebastian Don Ndibalema
> Tazama Nyimbo nyingine za Sebastian Don Ndibalema

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Sebastian Ndibalema

Umepakuliwa mara 448 | Umetazamwa mara 1,422

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE YESU RAFIKI YANGU IOKOE NAFSI YANGU

WEWE NI TABIBU WANGU IPONYE ROHO YANGU       x 2

 

1.    Nishibishe kwa mwili wako wenye uzima, nishibishe kwa mwili wako IPONYE ROHO YANGU BWANA/ Nishibishe kwa damu yako yenye uzima, nishibishe kwa damu yako IPONYE ROHO YANGU BWANA


 2.    Nishibishe kwa chakula hiki siku zote, nishibishe kwa mwili wako IPONYE ROHO YANGU BWANA/ Nishibishe kwa kinywaji hiki siku zote, nishibishe kwa damu yako IPONYE ROHO YANGU BWANA

 3.    Nakuomba usiniache Mwokozi wangu, nishibishe kwa mwili wako IPONYE ROHO YANGU WANA/  Uwe nami siku zote kila niendapo, nishibishe kwa damu yako IPONYE ROHO YANGU BWANA


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa