Mtunzi: Sebastian Don Ndibalema
> Mfahamu Zaidi Sebastian Don Ndibalema
> Tazama Nyimbo nyingine za Sebastian Don Ndibalema
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Sebastian Ndibalema
Umepakuliwa mara 1,099 | Umetazamwa mara 3,494
Download Nota Download MidiNimetambua ya kwamba Mwenyezi Mungu ni mwema sana - Nimetambua ya kwamba Mungu ni mwema
Nimetambua ya kwamba Mungu wetu ana huruma - Nimetambua ya kwamba Mungu ni mwema
Yote tuliyo-nayo ame-tupa yeye - Nimetambua ya kwamba Mungu ni mwema
Uhai wetu na riziki atupa bure bila gharama - Nimetambua ya kwamba Mungu ni mwema
1. Anatupenda Mungu anatupenda sana, anatujali Mungu anatujali sana. Ukitafakari utaliona hilo
2. Katika shida yeye ni kimbilio letu, kwenye majo-nzi yeye ni mfariji wetu. Mwingi wa huruma, amejaa fadhili
3.Tukimuomba yeye anatupa baraka, tunapotu-bu yeye hutusamehe dhambi. Na anatulinda usiku na mchana