Mtunzi: Sebastian Don Ndibalema
> Mfahamu Zaidi Sebastian Don Ndibalema
> Tazama Nyimbo nyingine za Sebastian Don Ndibalema
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Sebastian Ndibalema
Umepakuliwa mara 550 | Umetazamwa mara 1,705
Download Nota Download MidiNjoni tufurahi Bwana kafufuka, twi-mbe aleluya Bwana kafufuka
Kaburini
hayumo (Kafufuka) Kaburini hayumo (Kafufuka) Mwokozi wetu yu mzima
1. Yaliyotabiriwa leo hii yametimia, siku hii ya tatu Mwokozi amefufuka kweli
2. Mauti na uzima vimeshindana ajabu Mkuu, wa uzima aliyekufa
atawala mzima
3. Minyororo ya shetani Bwana ameivunja, ametuweka huru kwa furaha
tumshangilie