Ingia / Jisajili

Njoni Tuabudu

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 328 | Umetazamwa mara 1,141

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Njoni tuabudu (njoni) tusujudu njoni tupige magoti mbele za Bwana, aliyetuumba kwa maana ndiye Mungu wetu x2 1. Na sisi tu watu wa malisho yake na kondoo za mkono wake. 2. Njoni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wa wokovu wetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa