Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: Plus Nicholas
Umepakuliwa mara 395 | Umetazamwa mara 2,392
Download NotaAleluya
Mungu wa bwana wetu yesu kristu awape ninyi roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye
2. Macho ya mioyo yenu yatiwe nuru mjue tumaini l la wito wake jinsi lilivyo na utajili wa utukufu wake katika patakatifu