Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 644 | Umetazamwa mara 2,805
Download Nota Download MidiKiitikio
Kweli ni shangwe kweli ni shangwe kweli ni shangwe Arusha,
Njoni wageni pia wenyeji mshuhudie haya,
Twaadhimisha jubilei ya miaka hamsini,
Miaka hamsini ya uinjilishaji wa kina,
Jimbo kuu katoliki la Arusha twasherekea
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutufikisha hapa.
Njoni maskofu, njoni mapadre, njoni na waamini,
Tumshukuru Mwenyezi kufikia kilele,
Ni kwa neema tumefikia miaka hamsini,
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutufikisha hapa.
Mashairi
1.Twajivunia imani ya kanisa katoliki, hata leo limesimama imara.
2.Twawapongeza waamini na makasisi wote, kuendeleza kanisa na jumuiya.